Picha: Muonekano wa Jiji la New York, Kamera 12K RED Monstro.

Picha: Muonekano wa Jiji la New York, Kamera 12K RED Monstro.
Hii picha imepigwa na Camera iliyoungwanishwa Lenzi 3 katika mji wa New York City. Mpiga picha alitumia kamera ijulikanayo kama RED Monstro 8K VistaVision akitumia stand maalum iitwayo Shotover K1 Hammerhead. Ni camera yenye uwezo wa hali ya juu ya 12K, bado sijajua bei yake. Picha ilipigwa mhusika akiwa katika Helkopta.
Utaipenda Mwenyewe.
Ni kutoka Chimboni, tunakochimbua Machimbo.

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Download App

Sidebar Ads

Download App

Sidebar Ads