CHAKULA BORA CHA SUNGURA.
Na.
|
Aina
Chakula
|
Kiasi
(Kgs)
|
01.
|
Pumba
za Mahindi
|
40
|
02.
|
Mashudu
ya Alizeti
|
30
|
03.
|
Pumba
za Mpunga
|
15
|
04.
|
Soya
|
5
|
05.
|
Chumvi
|
0.5
|
Unaweza kupata mwongozo wa awali hata kwa mtu aliyekuuzia sungura ili uweze kujua namna anavyowalisha.
Pia unaweza kuwalisha vyakula wanavyovipenda.
Mfano; Njugu mawe kwani huzipenda sana.
Sungura mmoja mkubwa huweza kula kiasi cha gramu 100 hadi 130 kwa siku.
Hii ni kwa chakula chake maalum cha sungura pamoja na chakula cha ziada kama vile majani mabichi, makavu n.k
Ulishaji mbogamboga, walishe taratibu mpaka wazoee ukilisha mfululizo kabla hawajazoea sungura huweza kuhara kutokana na kuvimbiwa.
Post a Comment